Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Wenyeji wa Wilaya hii ni Wasambaa 'wagosi wa ndima' ni wilaya ambayo ipo katika milima ya usambaa, hali ya hewa ni baridi kipindi kikubwa cha mwaka, na kunalimwa sana mazao mbalimbali kama mahindi, makabichi, matunda aina mbalimbali, viazi nk
hongea zumbekaibu tatea...
ndima neiniazizeyo,nnkiuya uko niikaa juma igwe au mei nntauya na nyika,si feidi vyedi uko kayaKwai nyika ikuaze mosie? ghotoka ukanyweewe mazi mwe ntungo ni weako.
'wagosi wa ndima'
Ni usoto kishambaa chakweSisi wenyewe wa huku hatuiti Lushoto. Tunaita 'USHOTO'
Neno lushoto lina maana gani?
aamen.Wajerumani walipokuja Tanganyika walijenga Ikulu Bagamoyo. baadaye wakajenga ikulu ndogo Dar. na ikulu kubwa sana Lushoto. Mahali pale walipaita WILHEMSTAL. wasambaa walishindwa kabisa kutamka neno hili geni wakakatisha wakaita USHOTO. wasambaa kwenye LU wana ondondoa L wanabaki na U. waswahili wakajua wasambaa wanakosea hivyo wakaunga ile L na mji wa shemeji zangu ukabatizwa jina na LUSHOTO
mosie ghamba du utetoighwa kiatu.ndima neiniazizeyo,nnkiuya uko niikaa juma igwe au mei nntauya na nyika,si feidi vyedi uko kaya
Lushoto ndio mji pekee ambao nilikaa wiki bila kuona hata dada poa mmoja. yaani sikugegeda wk nzima. Inaelekea wameshika dini sana watu wa Lushoto. hongereni kwa hilo.
hahaha, hiyo ni ID ya mtu mwingine kabisa, jamaa hakuweka kituo, lohUnaitwa mafikizolo?
Wajerumani walipokuja Tanganyika walijenga Ikulu Bagamoyo. baadaye wakajenga ikulu ndogo Dar. na ikulu kubwa sana Lushoto. Mahali pale walipaita WILHEMSTAL. wasambaa walishindwa kabisa kutamka neno hili geni wakakatisha wakaita USHOTO. wasambaa kwenye LU wana ondondoa L wanabaki na U. waswahili wakajua wasambaa wanakosea hivyo wakaunga ile L na mji wa shemeji zangu ukabatizwa jina na LUSHOTO