kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,002
- 9,091
Tayari kimeumanaVipi aisee mbona leo app yenu haisomi?
Tayari kimeumanaVipi aisee mbona leo app yenu haisomi?
Mjanja wewe uliyejiunga kalyindaWewe kweli mjinga
Kuna e-commerce kama KibubuApp ya Tanzania, Alibaba ya China n.k, je wanakusanya fedha kwa watu kwa ajili ya faida kama nyie?
Kwa muundo wa kwenu wa kukusanya fedha na kutoa faida mnapaswa kuwa mmesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mitaji na Masoko (CMSA), Je mmesajiliwa na mamlaka hii?
Kwa nnavyofaham mimi; Kalynda ni Platform ambayo inajihusisha na kitengo cha masoko ya makampuni yanayofanya biashara mtandaoni... Mfano mimi nna kampuni yangu na nauza vitu mtandaoni... lakini kabla mteja hajanunua kitu kwangu atahitaji kujua uzoefu wangu katika mauzo... hapo ataangulia ranking ya mauzo sokoni ukinilinganisha na platform nyengine... na hapa ndipo Kalynda walipotengeneza platform ambayo inashirikiana na kampuni mbalimbali kuongeza selling ratings katika masoko yako... ili kujijengea uaminifu kwa wateja na kutanua soko la kampuni husika!
State financed scam's....Kampuni haiuzi cho chote. Ukiuliza mnazalishaje hizo pesa wakati wala hamuwekezi hakuna jibu. Hela zinajizalisha tu kama chuma ulete. Ni typical pure ponzi/pyramid scheme. Wale wa mwanzo mwanzo na chambo wengine wachache ndo wanalambishwa vitone vya asali ili wakawalete makondoo wengine wengi zaidi. Jamaa wakiona mzigo umetosha hao wanasepa.
Na hawa wanalindwa na vigogo maana utapeli ni ule ule lakini Brela bado wanatoa leseni. Ukifuatilia utakuta bosi wa hii ni kibopa huko serikalini au mtoto wa kigogo fulani.
Biashara ya kitapeli ni kama hii ambayo kwenye appstore hakuna key info kuhusu huu mradi. Unakuta tu link ya kudanlodi na si zaidi ya hapo.Kwa nnavyofaham mimi; Kalynda ni Platform ambayo inajihusisha na kitengo cha masoko ya makampuni yanayofanya biashara mtandaoni... Mfano mimi nna kampuni yangu na nauza vitu mtandaoni... lakini kabla mteja hajanunua kitu kwangu atahitaji kujua uzoefu wangu katika mauzo... hapo ataangulia ranking ya mauzo sokoni ukinilinganisha na platform nyengine... na hapa ndipo Kalynda walipotengeneza platform ambayo inashirikiana na kampuni mbalimbali kuongeza selling ratings katika masoko yako... ili kujijengea uaminifu kwa wateja na kutanua soko la kampuni husika!
Na wako registered DSE vile vile hao wanaitwa JATUWatu wana certificate of incorporation, leseni, tax clearance, tin, vat registration certificate, osha, leseni ya B.O.T na bado wanakimbia na kutekeleza ofisi. Wabongo wezi sana
UnasemaUtapeli vp na kujiunga ni bure ndugu... ofisi zinapatikana Pssf tower ghorofa ya 22 ... Tatizo watz wengi tumekaririshwa vibaya
Wacha wapigwe tu, watu hawataki kufanya kazi wanataka hela za kudownloadtayar huku washawaachia unyoya View attachment 2382654
Tumekaririshwa vibaya.Unasema
BRO HAYA TUPE MAENDELEO YENU HUKOUtapeli vp na kujiunga ni bure ndugu... ofisi zinapatikana Pssf tower ghorofa ya 22 ... Tatizo watz wengi tumekaririshwa vibaya