Hakuna tofauti, mara nyingi makao makuu ya nchi yanakuwa katika mji mkuu! Hivyo basi mji mkuu ambao unakuwa makao makuu ya nchi shughuli zote kuu za serikali zapaswa kufanyika hapo!
Kwa tafsiri hiyo hapo juu, mji mkuu kwa Tanzania ni Dodoma na makao makuu pia, na ndiyo maana zinasikika harakati za kuhamishia shughuli kuu za serikali huko!!