Ebwana Kuna mzee hapo UDSM anaitwa Nselemu nilikutana naye China...niligundua kuwa ni Watanzania baada ya kusikia wakiongea Kiswahili na wenzake Wengine wawili aliokuwa nao...niliwafuata ila Alikuwa na Nyodo sana nikamsalimia katika kuulizana ndipo akanambia kuwa yeye ni Profesa hapo UDSM!!......kama sikosei ilikuwa mid-2014