Niulize chochote kuhusu course ya bachelor degree in legal and industrial metrology

hansluvanga

Member
Apr 18, 2014
96
25
Nakaribisha maswali kwa yeyoye anaetaka kufahamu Zaid kuhusu course karibuni #elimunikuwanataarifa
 
Daah kuna mdogo wangu alichaguliwa hii kozi katika ngazi ya cheti kuelekea diploma, nikamshauri aipige chini maana hatukuwa na taarifa za kutosha.
Natamani huu uzi ungekuwepo wakati huo nikuilize mawili matatu.
 
Ni koz nzuri next tym mshaur aje asome
 
Alipata kozi nyingine, geomatics.

Ila mkuu hansluvanga ungeeleza yote unayoyajua kuhusu hiyo kozi, then kama kuna mtu ana specific issue ndo aulize hapa.

Kwa kufanya hivyo ungejenga interest ya watu kuifahamu.

Kwa sasa huenda watu wanakosa cha kuuliza kwa kuwa hawana ufahamu nayo na ni ngeni maskioni mwao.

Naunga mkono hoja
 
Ni kozi inayotolewa na chuo Cha cbe na wanapenda kufanya kazi maeneno kama haya mizani , wakala wa vipimo kama akikosa hapo aanze kulima tu ni kozi inayotolewa na chuo kimona tu Africa mashariki tu
Inafaa usome ukiwa na connection sababu kuajiliwa kwenye kampuni ni hamna tofauti na serikari

Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom