mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 644
Sio Nedicine! Ni MedicineNedicine ndo nn?
me naomba kuuliza kuhusu clinical dentistryHabari Wadau Kwa Mwenye Maulizo Yoyote Kuhusu Course Ya Clinical Medicine (CO & CA)
Usisite Kuuliza Hapa:
1. Admission
2. Modules
3. Mikopo
4. Life La Kitabu
5. Maswali
6. Ushauri
7. Msaada Wowote.
clinical nedicine ndo nini?!Habari Wadau Kwa Mwenye Maulizo Yoyote Kuhusu Course Ya Clinical Medicine (CO & CA)
Usisite Kuuliza Hapa:
1. Admission
2. Modules
3. Mikopo
4. Life La Kitabu
5. Maswali
6. Ushauri
7. Msaada Wowote.
Mikopo Inapatikana!! Via Global Funds! Na Ninavyojua Wanapata Wa Serikalini Tu! Ambapo Kama Last Year Walilipiwa Ada + Matumizi 520,000/= Ya Chakula Per Semester.Mine ufafanuzi no. 3
Sina Ujuzi Nayo Chiefme naomba kuuliza kuhusu clinical dentistry
Nakifahamu Suye Tu ChiefNaomba unjuze vyuo binafsi vilivyopo arusha
Nishafafanua Hapo Juu Chiefclinical nedicine ndo nini?!
nipe link yao ama mawasiliano yao pia na namna ya kupata mikopoMikopo Inapatikana!! Via Global Funds! Na Ninavyojua Wanapata Wa Serikalini Tu! Ambapo Kama Last Year Walilipiwa Ada + Matumizi 520,000/= Ya Chakula Per Semester.
Tupe link kiongoziMikopo Inapatikana!! Via Global Funds! Na Ninavyojua Wanapata Wa Serikalini Tu! Ambapo Kama Last Year Walilipiwa Ada + Matumizi 520,000/= Ya Chakula Per Semester.
Mkopo Unapata Ukiwa Chuo Na Maelezo Wanatoa Vyuoni! Kama Unrchaguliwa Serikalini Nenda Chuo Kapate Maelezonipe link yao ama mawasiliano yao pia na namna ya kupata mikopo
Hakuna LinkTupe link kiongozi
vipi mtu anayemaliza hiyo course anaweza kufanya kazi zipi? je anakuwa doctor kamili?Nishafafanua Hapo Juu Chief
Unposema Dr Kamili Una Maana Gan Mkuu?vipi mtu anayemaliza hiyo course anaweza kufanya kazi zipi? je anakuwa doctor kamili?
Hio na medical lab ngaz ya dplm ipi nzur mkuuWhat about pharmacy! ,koz ndyo habar ya mjin