Niulize chochote kuhusu Bukoba

infact ntapambana mpaka nifike bukoba,,,niliambiwa wana ardhi nzuri ya kilimo,actuary,,,
 
samahani mkuu,,mm nina haiba ya kupendwa na wamama wa kihaya,,sijui kwa nn yani,,

Yani nikija mwanza huwa simalizi wiki lazma atajisogeza mmama wa kihaya,,
Nilishawahi kuwekwa ndani na mmoja alikua anavundika ndizi soko la mwaloni pale mwanza,,

mm kazi yangu ikawa ni kupiga mashine na kula mchemsho wa ndizi na samaki mixer na senene,
Completely yaweza kuwa kweli [emoji16]
 
Aisee! Samahani umekosea quotation hayo mambo siyafahamu kabisa.
 
Hivi ni kweli kuwa uko Bukoba kuna chuo kinachofundisha utapeli na dhuruma za ardhi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…