masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
Wengi nimegegeda katerero kama kawaidaushawagegeda wangapi ndani ya hiyo miaka miwili??........wangap hujatumia kondom...?/......ushawahi kumfanyia katerero yeyote?
Una picha zao angalau hata moja ?
Ukitoka saa 12 asubuhi dar to Bukoba utafika saa 6 mchana kesho yake utachukua gari saa 12 jioni hupo Kampala hila kuna gari kutoka dar to Kampala via Bukoba..nauli ya dar to Bukoba inategemeana na bus kuna_ukitaka kwenda kampala kutokea dar ipi rahisi?na ukitokea BK
alafu kutoka dar hadi bk bei gan kwa bus na unatumia sku ngap
Shumalamu olige 10 elfu mpaka 8 elfu waituWaitu, shumalamu... Eti ebhijoge hapo soko kuu siku hizi ni bei gani?
Karibu Bukoba mkuuUna picha zao angalau hata moja ?
Istanbul Bukoba beach ni nzuri sana imeboreshwa sana kuliko karibu zote za jijiMsila island near Bukoba townView attachment 1131182
Hebu tupiamo kapicha mkuu.Istanbul Bukoba beach ni nzuri sana imeboreshwa sana kuliko karibu zote za jiji
Je ni kuwa katerelo imeanzia Bukoba?Nipo hapa Bukoba Mjini kwa miaka miwili sasa niulize chochote kuhusu huu mji...
Zao la vanilla hulimwa ktk maeneo gani? na bei ya mwaka huu ilikuwa sh ngapi?Nipo hapa Bukoba Mjini kwa miaka miwili sasa niulize chochote kuhusu huu mji...
Naifahamu Bukoba mjini kidogo Kemondo kanazi rwagati kanyinya na misenyi bunazi mpaka mutukulaunapafahamu muleba (misikilo) au kabagunda, kishoju, gwanseli, ilemela, katunguru, katelelo, au kashai + nyanshenye + kimwani
Kilo laki moja kalibia sehemu zote lakini Bukoba vijijini wanalima sanaZao la vanilla hulimwa ktk maeneo gani? na bei ya mwaka huu ilikuwa sh ngapi?
uko sipafaham mi mvuvi flani ambae nmetembelea ziwa victoria tangu niko darasa la tatu mwaka 2007 nmevua mpaka 2013 baada ya kuamishwa shule form two saivi nkp dar ila naogelea mpaka samaki wanaona taabu, nmevua kila aina ya uvuvi unaoujua usiombe kulala majini umo mdo nyumbani na nina mpango baada ya chup nkavue vizuriNaifahamu Bukoba mjini kidogo Kemondo kanazi rwagati kanyinya na misenyi bunazi mpaka mutukula