mamso
Senior Member
- Feb 9, 2017
- 174
- 194
Habari zenu naomba msaada wa sheria,
Mi ni mama wa mtoto mmoja, baba wa mtoto kipindi cha mwanzo alikataa mimba akaja kuikubali ila hakutaka kuwa n mimi. Matumizi kwa mara ya kwanza hakutoa badae akawa anatoa 50000 nikamwambia mtoto anakuwa anahitaji more akatuma 70000 hapo ila hadi atume lazima nimseme ndio inatumwa ila mwenzangu anasema na mtukana amebadilisha namba amehama anapokaa hataki nijue ndugu zake ila through fb nimewajua baadhi now nimewambia ndugu zake wamwambie atume hela maana hata mtoto hataki kumuona anasema nimetukana.
Naomba kujua kuna sheria ambayo naweza kumkamatia nayo au ustawi wa jamii process zao zipoje.