Wapenzi nimeangukia kwenye penzi jipya linanipeleka puta kiasi naanza kukosa kujicontrol kumpigia na kumtumia jumbe mpaka najistukia atanichoka au kuonekana msumbufu
Ombi langu naombeni mbinu za kuweza kupunguza hisia juu yake nipunguze kupiga simu na kutuma jumbe kwake.
Nisaidieni yaani nimekuwa teja kabisa hadi najihurumia.
Nijalie tofauti zake🙏Hzo hisia???mihemko???
Hakikisha huna bando la aina yoyote...hutaweza kutext wala kumpigia
Mawasiliano yakipungua,hata hisia zitapungua

nadhani hii
imekaa poa sanaa
Wapenzi nimeangukia kwenye penzi jipya linanipeleka puta kiasi naanza kukosa kujicontrol kumpigia na kumtumia jumbe mpaka najistukia atanichoka au kuonekana msumbufu
Ombi langu naombeni mbinu za kuweza kupunguza hisia juu yake nipunguze kupiga simu na kutuma jumbe kwake.
Nisaidieni yaani nimekuwa teja kabisa hadi najihurumia.
aasante umemjibu kitaalamu zaidi katka kada yetu ya dark artsAtaweza kukaa bila bundle na hela mfukoni anayo? She is overwhelmed by the first intensive feelings of caring. Baada ya muda zitapungua automatically
Fanya sehem yako mapenzi ni kitu kizuri sana ukianza kujizuia tu utakuja kulalamika kuachwa penda ukiamka penda ukilala penda ukiamka fanya hivyo wakati woteHiyo ya mwisho ndio concern yangu, Ahsante Lizzy![]()
Naiona hii, clearly kabisaa, ndio maana nikaona nijiwahi nipone.
Huna haja yq kujizuia kuonyesha upendo we mpende tu akiona ni kero basi hayupo sawa kihisia na wewe. Mimi babe wangu anapiga sana simu na text yani haipiti 2 hour au 3 hajapiga amewahi kuniambia nahisi kama nakusumbua sana nikamwambia no it's okay jiachie sababu tunapendana.Ke
Hivi mbinu zaweza kutofautiana kulingana na jinsi
If yes how and why