Nitumie mbinu gani?

Nitumie mbinu gani?

😁😁😁😂 weka mazingira akupige mizinga ! Utaona mwenyew moraly inashuka
Wote tuko financially independent! Ahsante lakini nazo ni mbinu.Ila nahitaji ambazo hazitamuudhi
 
Unahisi miaka inazuia hisia Lizzy? Nina 40.
Not really...

Sema kuna kupenda kitoto na kupenda kiutu uzima.
Kiutuuzima unaweza kucontrol hisia zako pale unapoona inafaa (kama sasa hivi).

Ila all in all...kama uko inlove onyesha tu lakini jitahidi usiwe TOO MUCH hadi umtishe mtu au adhani unamdanganya. Lakini pia be careful usikute umezama wakati mwenzio hajakusudia kujiweka muda mrefu.
 
Wapenzi nimeangukia kwenye penzi jipya linanipeleka puta kiasi naanza kukosa kujicontrol kumpigia na kumtumia jumbe mpaka najistukia atanichoka au kuonekana msumbufu
Ombi langu naombeni mbinu za kuweza kupunguza hisia juu yake nipunguze kupiga simu na kutuma jumbe kwake.
Nisaidieni yaani nimekuwa teja kabisa hadi najihurumia.
The more u ar interested the less he'll be interested, and the vice versa is true.
 
Naiona hii, clearly kabisaa, ndio maana nikaona nijiwahi nipone.
Ila haimaanishi kwamba atapoteza interest kabisa kwako. Kwenye mahusiano lazima kuwe na mmoja anaejali zaidi ya mwingine na huyo ndie atakua na uwezo wa kuyaweka mambo sawa yanapoenda sivyo.

So its not a bad thing, hiyo ni heshima.
 
Penzi hili jipya naona utaumizwa usikurupukie penzi jipya na kuingia kichwa kichwa utakuja kuumia bure
Ngoja aumizwe kwanza ndio atajifunza, unajua mahusiano huwezi jifunza bila kuumizwa, kuna mtoto nilikua the only one who always trying to do/fix things,, (call, txt first), kilichonikuta kidg Israel aondoke na roho yangu... Toka kipindi kile mpaka sasa mimi ni mzee wa shobo balance.
 
Na kama yeye ndio mchepuko wenyewe??
Bas kama ndiyo, hapo siyo bure shetani kwa sasa atakuwa upande wako! Kaa tuliza akili mihemko ya mchepuko itakuvunjia ndoa yako! Yapo mambo mengi sana ya kufanya/ kuwaza ili ujikeep bze
 
Wapenzi nimeangukia kwenye penzi jipya linanipeleka puta kiasi naanza kukosa kujicontrol kumpigia na kumtumia jumbe mpaka najistukia atanichoka au kuonekana msumbufu
Ombi langu naombeni mbinu za kuweza kupunguza hisia juu yake nipunguze kupiga simu na kutuma jumbe kwake.
Nisaidieni yaani nimekuwa teja kabisa hadi najihurumia.
Lake mtu halimtapishi .
 
Kama ulotuma SMS akajibu na ukipiga anapokea shida iko wap?
Wengine inatuma SMS Siku tatu hajibu unajua inaumaje hajibu??
 
Back
Top Bottom