KeJinsia yako please
Fata huu ushauri unafaaHakikisha huna bando la aina yoyote...hutaweza kutext wala kumpigia
Mawasiliano yakipungua,hata hisia zitapungua
ha ha ha ameshakuteka akili huyo mkuuWapenzi nimeangukia kwenye penzi jipya linanipeleka puta kiasi naanza kukosa kujicontrol kumpigia na kumtumia jumbe mpaka najistukia atanichoka au kuonekana msumbufu
Ombi langu naombeni mbinu za kuweza kupunguza hisia juu yake nipunguze kupiga simu na kutuma jumbe kwake.
Nisaidieni yaani nimekuwa teja kabisa hadi najihurumia.
Natokaje hapa sasa mkuuha ha ha ameshakuteka akili huyo mkuu
Kama unaujasiri mpige mkwara mzito na kweli ukusudie kuachana naye.Natokaje hapa sasa mkuu
Ataweza kukaa bila bundle na hela mfukoni anayo? She is overwhelmed by the first intensive feelings of caring. Baada ya muda zitapungua automaticallyHakikisha huna bando la aina yoyote...hutaweza kutext wala kumpigia
Mawasiliano yakipungua,hata hisia zitapungua
Hebu nipe ujanja wa kuishi in this transition periodAtaweza kukaa bila bundle na hela mfukoni anayo? She is overwhelmed by the first intensive feelings of caring. Baada ya muda zitapungua automatically
Every move has a very first step. Mpe experience yako apime mizani yake mwenyewePenzi hili jipya naona utaumizwa usikurupukie penzi jipya na kuingia kichwa kichwa utakuja kuumia bure
That's how it is and probably it's accompanied by very strong emotions. Just show him how badly in love you're.Hebu nipe ujanja wa kuishi in this transition period
That’s where my problem is naandika ma verse na verse ya jinsi navyojisikia juu yake nahisi wakt mwingine anahisi nafanya drama.That's how it is and probably it's accompanied by very strong emotions. Just show him how badly in love you're.
Kupenda kupitiza si vibaya
Take things slowly na kila kitu kitakuwa sawa , whenever u feel the urge to text him , don't text then , Make yourself busy ili akili yako iwe occupied na mambo mengineWapenzi nimeangukia kwenye penzi jipya linanipeleka puta kiasi naanza kukosa kujicontrol kumpigia na kumtumia jumbe mpaka najistukia atanichoka au kuonekana msumbufu
Ombi langu naombeni mbinu za kuweza kupunguza hisia juu yake nipunguze kupiga simu na kutuma jumbe kwake.
Nisaidieni yaani nimekuwa teja kabisa hadi najihurumia.
Thank you adorabella maana mpaka nahisi nimekuwa kiherehereTake things slowly na kila kitu kitakuwa sawa , whenever u feel the urge to text him , don't text then , Make yourself busy ili akili yako iwe occupied na mambo mengine
Tafuta mchepuko ! Utapunguza kumtafuta mara kw maraWapenzi nimeangukia kwenye penzi jipya linanipeleka puta kiasi naanza kukosa kujicontrol kumpigia na kumtumia jumbe mpaka najistukia atanichoka au kuonekana msumbufu
Ombi langu naombeni mbinu za kuweza kupunguza hisia juu yake nipunguze kupiga simu na kutuma jumbe kwake.
Nisaidieni yaani nimekuwa teja kabisa hadi najihurumia.
😁😁😁😂 weka mazingira akupige mizinga ! Utaona mwenyew moraly inashukaNa kama yeye ndio mchepuko wenyewe??