Mkuu wangu nadhani inategemea sehemu ilipo na cha kufanya ebay ipo safe zaidi kama unatumia paypal, vile vile wauzaji wao wengi wanasema huwa hawaship international so hapo inabidi vile vile kabla hujanunua anything kwanza kabisa jaribu kuuliza kama ataweza kuship international, vile vile kuhusu amazon na yenyewe vile vile nzuri zote zipo safe kwa upande wangu hazina tatizo ila amazon lazima utumie credit card au Debit card sidhani kama wana service ya paypal, ila ebay ndio wanatumia paypal, so ushauri wangu wote wapo powa sana na wapo safe ila before hujanunua waulize kama watakubali kuship country uliyopo.....