Nitumie dawa/lotion/mafuta gani?

Nitumie namba ya huyo mtu wako nimpe ushauri wa moja kwa moja. Sitanii.
 
Shukrani sana
fanya kwanza after matokeo mazuri ndio unishukuru badae. Aloe vera anapaka vizuri uso mzima inakua kama mask na umwambie asilambe midomo sana maa ni chungu akiilamba.t
 
fanya kwanza after matokeo mazuri ndio unishukuru badae. Aloe vera anapaka vizuri uso mzima inakua kama mask na umwambie asilambe midomo sana maa ni chungu akiilamba.t
Sawa sawa
 
Mpeleke mtu wako hospitali kubwa ili akaonane na daktari bingwa wa magonjwa ya ngozi. Labda mnawwza kupata suluhisho. Ikishindikana, jaribu kwenda kwenye maduka wanayouza mafuta ya asili. Huenda na kwenyewe mkapata msaada.
 
Sawa mkuu
 
Nielekeze ndugu ili ashindwe mwenyewe
Dawa yake inaitwa acnotin( isotretnoin) ikiambatana na doxlin
Dawa hizi atatumia kidonge kimoja kila siku kwa muda wa miezi 6(yaani dox 1 na acnotin 1)
1. Wiki 3 za mwanzo wakati wa kutumia chunusi zitaongezeka kama kazitia mbolea lkn ndo namna yake ya ufanyaji kazi, Wiki ya nne nakuendelea chunusi zitaanza kukauka.
2. Uso utakuwa mkavu na kujifili kama umepauka lkn pia lips hukuaka na kubanduka kama gamba la nyoka

Wakati wa kutumia dawa hizi azingatie yafuatayo
A) atumie tyubu kama persol gel 2.5 usoni kuzuia mpauko au mafuta maalum kwa ajili ya ngozi za mafuta
B) atumie mafuta ya vaseline lip ili kuzuia ukavu wa lips make dawa hizi zinakausha lips na pia asilazimishe kubandua magamba kwenye lips make yatamletea vidonda ye ayaache yabanduke yenyewe
C) anywe maji mengi make dawa hizi zina tabia ya dehydration kama ilivyo pombe so itakuwa inaleta headache akizembea kunywa maji
Mengine atakuwa anajiongeza mwenyewe sasa mfano sometimes maumivu ya kichwa yakizidi ameze actions
 
Attachments

  • small_20220227_042605_509804_acnotin_10_0_max_1800x1800_jpg_b82c9e3c28.jpg
    14.6 KB · Views: 10
Okay sawa, ngoja nilifikishe mchakato uanze
 
HApa kuna dalili zote za heart diseases na kidney diseases
 
Okay sawa, ngoja nilifikishe mchakato uanze
Juu huko comments za kukutoa kwenye reli zimeanza fanya tafiti zako ila cha kukuongezea tu azingatie kula na kunywa
Ale kwanza ndo ameze vidonge
Mengine sasa wanasema za kwako changanya na mbayuwayu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…