Facial ni nini hiyo? Anaweza kupata wapi hiyo huduma kwa gharama gani?Asikamue.. atabaki na dark spot
Fanya facial… kuna wakati nilifanyaga nilikuwa nateleza kama kambale
Salamaleko 😁Mpe Pole ni kajua ngozi ya naniliu🤔
Ya nini? Ndio inakuwaga kama hivyo😀Mpe Pole ni kajua ngozi ya naniliu🤔
Waleku muislamu bwasheeSalamaleko 😁
Facial - deep face cleansingFacial ni nini hiyo? Anaweza kupata wapi hiyo huduma kwa gharama gani?
Samahani kama swali langu linashangaza
Ya kitumbua cha buku😀Ya nini? Ndio inakuwaga kama hivyo😀
Uli hisi Ngozi ya MAKU Bwashee ☺️Waleku muislamu bwashee
Mno bwashee 😃Uli hisi Ngozi ya MAKU Bwashee ☺️
Sawa sawaFacial - deep face cleansing
(Scrub,stem, mask, massage ya uso
Au kama nyoka pangoni 😎Asikamue.. atabaki na dark spot
Fanya facial… kuna wakati nilifanyaga nilikuwa nateleza kama kambale
Nielekeze ndugu ili ashindwe mwenyeweHizo ni acne tiba yake ni ya mateso na ni dozi ya miezi 6 unakomesha kabisa tatizo, ila sasa wengi hushindwa na kukatisha dozi!!
Shukrani sanaAcha kujiwekea gharama za bure na kumuekea wife chemical ambazo mwisho wa siku utakuja utibu kwa gharama kubwa.
Kama kuna mwalovera na ununue vaseline mgando. Kila cku asuhuhi na jioni anapaka hayo maji usoni akae nusu saa au hata lisaa lizima kama haendi sehem after hapo anawe uso apake hiyo vaseline tu asiongeze chochote hiyo shda itaisha. Kuna vidude veusi vinatokeaga usoni mzee mwingne akaambiwa kuwa vinang'olewa kweli akawa anang'olewa akiambiwa kuwa vitaisha kumbe ndo kuviongeza zaidi sa ivi uso umekuwa kama chura wa gredi toka china yaani ngozi ina layer ya juu na ya ndani