Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,491
Dah kwanza nimecheka,bujibuji mshenzi wewe na hata kuacha ng'ooNina mpenzi ambaye ananipenda sana (mi nazuga tu kwqmba nampenda, licha ya kwamba Zamani nilikuwa nampenda Sana)
Kwa kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo upendo wake kwangu unavyozidi kuongezeka huku wa kwangu ukizidi kuyeyuka na kupoteza kabisa.
Binti wa watu kaacha dini yake kaja kwangu, alikuwa ni kada kindakindaki wa kile chama cha mashetani, kaachana nacho na Sasa hakitaki Tena, sio kwa Sera za chama ila kwasababu tu aufurahishe moyo wangu.
Kanitambulisha kwao, Mimi kwetu sitaki hata wamjue.
Sasa nimechoka kufeki lavu andi laifu.
Nifanyeje ili binti aniache automatically? Je nitumie dawa gani? Niogee chumvi ya mabonge ya Mshana Jr? Mbona nahisi Kama itaniongezea mivuto?
Sitaki kumfanyia visa, nitakuwa nauumiza moyo wake.
Sitaki kumchana makavu, kabinti presha yake inashukaga Hadi anazimia siku tatu.
Naombeni ushauri wajameni nifanyeje ili niachwe mie?
Nahitaji kuachwa, nahitaji kuachwaaaaaa, nahitaji kuachwaaaaaa (kwa sauti ya Nireeeteeeeni Gwajimaaaaaa)
Niroge Basi niwe wakoDah kwanza nimecheka,bujibuji mshenzi wewe na hata kuacha ng'oo
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Ukuje inbwobwu but usinilinkNipe namba yake,the rest niachie mimi.
Muongo Muongo huyu... Mara alikutana na mke wake wote wakiwa wasafi, na hajawai KUCHEAT... Saiv Ana mpnz....looohMara umeoa.mara hujawai cheat.maraa una mpenZ...
Enewei...anza kumkopa hela..halaf usiwe unarudisha. Mtagimbana tu
nipe majina yako matatu nianze kaziNiroge Basi niwe wako
Pole Mkuu Bujibuji! unasema kweli nikupe njia rahisi??Nina mpenzi ambaye ananipenda sana (mi nazuga tu kwqmba nampenda, licha ya kwamba Zamani nilikuwa nampenda Sana). Kwa kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo upendo wake kwangu unavyozidi kuongezeka huku wa kwangu ukizidi kuyeyuka na kupoteza kabisa.
Binti wa watu kaacha dini yake kaja kwangu, alikuwa ni kada kindakindaki wa kile chama cha mashetani, kaachana nacho na Sasa hakitaki Tena, sio kwa Sera za chama ila kwasababu tu aufurahishe moyo wangu.
Kanitambulisha kwao, Mimi kwetu sitaki hata wamjue. Sasa nimechoka kufeki lavu andi laifu. Nifanyeje ili binti aniache automatically? Je nitumie dawa gani? Niogee chumvi ya mabonge ya Mshana Jr? Mbona nahisi Kama itaniongezea mivuto? Sitaki kumfanyia visa, nitakuwa nauumiza moyo wake.
Sitaki kumchana makavu, kabinti presha yake inashukaga Hadi anazimia siku tatu. Naombeni ushauri wajameni nifanyeje ili niachwe mie?
Nahitaji kuachwa, nahitaji kuachwaaaaaa, nahitaji kuachwaaaaaa (kwa sauti ya Nireeeteeeeni Gwajimaaaaaa)
Naomba uniroge jamani weee! sijawahi kurogwa na mdada kwa majina rangu ni Pichuya kodada Rinzuni.nipe majina yako matatu nianze kazi
UmerogwaNina mpenzi ambaye ananipenda sana (mi nazuga tu kwqmba nampenda, licha ya kwamba Zamani nilikuwa nampenda Sana). Kwa kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo upendo wake kwangu unavyozidi kuongezeka huku wa kwangu ukizidi kuyeyuka na kupoteza kabisa.
Binti wa watu kaacha dini yake kaja kwangu, alikuwa ni kada kindakindaki wa kile chama cha mashetani, kaachana nacho na Sasa hakitaki Tena, sio kwa Sera za chama ila kwasababu tu aufurahishe moyo wangu.
Kanitambulisha kwao, Mimi kwetu sitaki hata wamjue. Sasa nimechoka kufeki lavu andi laifu. Nifanyeje ili binti aniache automatically? Je nitumie dawa gani? Niogee chumvi ya mabonge ya Mshana Jr? Mbona nahisi Kama itaniongezea mivuto? Sitaki kumfanyia visa, nitakuwa nauumiza moyo wake.
Sitaki kumchana makavu, kabinti presha yake inashukaga Hadi anazimia siku tatu. Naombeni ushauri wajameni nifanyeje ili niachwe mie?
Nahitaji kuachwa, nahitaji kuachwaaaaaa, nahitaji kuachwaaaaaa (kwa sauti ya Nireeeteeeeni Gwajimaaaaaa)
chupiya kodada ninzuri??Naomba uniroge jamani weee! sijawahi kurogwa na mdada kwa majina rangu ni Pichuya kodada Rinzuni.