Nitumie dawa gani mpenzi wangu aniache automatically?

Nina mpenzi ambaye ananipenda sana (mi nazuga tu kwqmba nampenda, licha ya kwamba Zamani nilikuwa nampenda Sana)
Kwa kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo upendo wake kwangu unavyozidi kuongezeka huku wa kwangu ukizidi kuyeyuka na kupoteza kabisa.
Binti wa watu kaacha dini yake kaja kwangu, alikuwa ni kada kindakindaki wa kile chama cha mashetani, kaachana nacho na Sasa hakitaki Tena, sio kwa Sera za chama ila kwasababu tu aufurahishe moyo wangu.
Kanitambulisha kwao, Mimi kwetu sitaki hata wamjue.
Sasa nimechoka kufeki lavu andi laifu.
Nifanyeje ili binti aniache automatically? Je nitumie dawa gani? Niogee chumvi ya mabonge ya Mshana Jr? Mbona nahisi Kama itaniongezea mivuto?
Sitaki kumfanyia visa, nitakuwa nauumiza moyo wake.
Sitaki kumchana makavu, kabinti presha yake inashukaga Hadi anazimia siku tatu.
Naombeni ushauri wajameni nifanyeje ili niachwe mie?
Nahitaji kuachwa, nahitaji kuachwaaaaaa, nahitaji kuachwaaaaaa (kwa sauti ya Nireeeteeeeni Gwajimaaaaaa)
Dah..wanaume tuwe na huruma jamani...
 
Anza kupiga gemu za kichovu.

[emoji23][emoji23]

Apo hachomoki sasa sijui huruma ni yanini wakati hampendi tena. Kadri siku zinavyosonga ndio binti anazidi kuongeza upendo bora ampige chini mapema kumuepushia maumivu baadae na kumpotezea mda
 
Mkuu mbona kama kakutukana alafu unasema 'asante' , maana mm sielewi kiEnglish
25595CC2-0090-4F0E-8B82-07722005BFF0.jpeg
🥂
 
Nipe namba yake nikusaidie mkuu very fast atakuacha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom