Mr worldwide
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 348
- 737
Wajuzi nahitaji niweze kuangalia Tv kwa kupitia kompyuta but sijui ni apps gani naweza tumia kustream live channel za Tv mbalimbali za ndani na nje ya nchi.
Nahitaji zaidi channel zinazoonesha mpira
Msaada tafadhali
Nahitaji zaidi channel zinazoonesha mpira
Msaada tafadhali