Nitumie App gani niweze kuangalia Tv kwa kompyuta?

Mr worldwide

JF-Expert Member
Dec 30, 2017
348
737
Wajuzi nahitaji niweze kuangalia Tv kwa kupitia kompyuta but sijui ni apps gani naweza tumia kustream live channel za Tv mbalimbali za ndani na nje ya nchi.

Nahitaji zaidi channel zinazoonesha mpira

Msaada tafadhali
 
Muda wa mechi ukikaribia fungua HesGoal.COM Sports News utakuta link ya mechi husika ifungue then enjoy, ki kubwa bando lako tu.
 
Kama una kisimbuzi cha Dstv au jamaa yako kama anaweza kukupa ujiungie smarcard ya Dstv yake au kama una mtu anatumia app ya Dstv kweny cm mwambie akupe details za account yake uje nikuelekeza jinsi ya kutumia kweny computer ama laptop nk. Njoo hata pm
 
Una moyo kama wangu wa kupenda kusaidia
Hongera sana kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nina Dstv na ninalipa kifurushi cha copact ni zaidi ya channel 100 yaani ni raha tu anahitaji kuungwa kweny simu au computer ama laptop aje ni kwa malipo ya elf10 tu hutakuwa unalipa kila mwezi ukilipa mara moja hiyo elf10 unakura raha mwanzo mwisho nonestop nichek kwa 0756 695846 nisha unga watu wengine kwa iyo usiogope
Tafuta mtu wa dstv akuunge mwenye kifurushi kikubwa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmetumia app nyingi za kuonyesha michezo mbali mbali ikiwepo mpira kweny simu au computer ila Dstv ndo chaguo langu aisee haili kabisaa mb yaani unaweza kuchagua options ya chini low quality na ikaonesha vizuri kabisaa hd unatumia mb210 kwa saa nzima kwa iyo unaangalia mechi moya ya mpira ya dakika 90 kwa mb 300 wakat app zingine unatumia mb 600 au gb 1 kabisaa huu ndo utifauti niliouona kwa app zingine na Dstv kwa nahitaji kuungwa na Dstv kweny cm au computer na hana kisimbuzi cha Dstv yenye chanel zaidi ya 100 aje nimuunge kwa kutumia account yangu ya Dstv ale raha mwanzo mwisho ila ni kwa malipo ya elf10 tu haina malipo ya kila mwezi ukilipa mara moja unakura raha mwanzo mwisho nichek namba hiyo hapo kweny post iliyopita
20200301_093058.jpeg
PicsArt_02-18-04.42.14.jpeg
Screenshot_20200218-163046_DStv%20Now.jpeg
Screenshot_20200218-163053_DStv%20Now.jpeg
Screenshot_20200229-125503_One%20UI%20Home.jpeg
 
Zote unazo?
Nmetumia app nyingi za kuonyesha michezo mbali mbali ikiwepo mpira kweny simu au computer ila Dstv ndo chaguo langu aisee haili kabisaa mb yaani unaweza kuchagua options ya chini low quality na ikaonesha vizuri kabisaa hd unatumia mb210 kwa saa nzima kwa iyo unaangalia mechi moya ya mpira ya dakika 90 kwa mb 300 wakat app zingine unatumia mb 600 au gb 1 kabisaa huu ndo utifauti niliouona kwa app zingine na Dstv kwa nahitaji kuungwa na Dstv kweny cm au computer na hana kisimbuzi cha Dstv yenye chanel zaidi ya 100 aje nimuunge kwa kutumia account yangu ya Dstv ale raha mwanzo mwisho ila ni kwa malipo ya elf10 tu haina malipo ya kila mwezi ukilipa mara moja unakura raha mwanzo mwisho nichek namba hiyo hapo kweny post iliyopita View attachment 1373467View attachment 1373468View attachment 1373469View attachment 1373470View attachment 1373489

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom