Nitoke nje ya ndoa?

Nitoke nje ya ndoa?

Ok pole. Ukiona maombi
yako yanakosa majibu washirikishe na wenzio. Nenda hapo kkkt kwa maksai
atakuombea.......................................
Kibongo bongo hakuna mwanamke atakayetaka kupokea mastress yako
labda naye awe na shida ya vijisenti vyako.

Mh.....
 
Tatizo lako wewe ni mbishi...
Unapoambiwa wewe ni mdogo kuingia kwenye ndoa kubali. Yes una busara,
lakini hazitoshi kuhimili mikiki mikiki ya ndoa. Mfano mdogo ndio kama
yanayokukumba sasa. Ungekuwa na busara za kutosha wala yasingekuumiza
kichwa na akili kama yanavyokuumiza sasa.
Kwa umri ulionao huo ukienda nje ya ndoa ndio unaenda kujichimbia
kaburi.

Mimi nakushauri kitu kimoja. Kuanzia sasa anza kuishi kama vile
hujaoa. Usimuache mkeo, lakini pia usimchukulie kama mke. Mchukulie kama
rafiki tu anayeishi katika nyumba yako. Kama mna mtoto/watoto we peleka
care kwa watoto. Akinuna, akigomba, akilia, akicheka, usijali. Jali
maisha yako mengine, but usiwaze tena kuhusu ndoa yako. Kama ni kulala,
akikataa usilale kitandani, kalale chumba kingine au sebuleni. Usijaribu
kabisa kumuomba au kutaka kufanya naye mapenzi. Kama ni chakula
akipikupa kula, asipokupa kale kwa mama ntilie.

AMUA kuishi maisha kama hayo kwa muda utakaojipangia ama MIEZI 3 au 6.
Strickly that way, yaani usimjali kwa lolote. Kwa kifupi chukulia kama
hayupo humo ndani. Ni ushauri mgumu mgumu kidogo but matatizo magumu
yanahusu maamuzi magumu, maana usipochukua hatua, ama utaua au utajiua
au utakufa...

Mhh.....!!
 
Mtoto anapomuoa mtoto mwenzie
na kukutana na majukumu huku akiwa hana Kazi, ww ulidhani
kitakachofuata nn?

Mbona jibu lipo wazi tu!!
Kinachofuata ni watoto kuzaa mtoto mwenzao.
 
Nimesali sana lakini kama hakuna badiliko lolote! Nimuache? Yaani kila kitu tabu tupu! Wasichana nawaogopa mno nahisi wataniongeza machungu je, nitamfute mmama wa wastani kama miaka 34 ila awe mzuri? mi nina 25. Kwakweli sijitambui niko njia panda!

Nilikuwa mwajiriwa wa kampuni fulani na nilikuwa nikilipwa laki 5 kwa mwezi sasa nina miezi 2 nkmeacha kazi sababu ya matatizo ya ndoa yangu!
Majaribu2013 acha kutujaribu basi, uongo hadi kwenye umri!.
Date of BirthJanuary 3, 1980 (33)
 
Last edited by a moderator:
Nimevumilia majaribu ya ndoa yamenishinda, ninaishi na mke wangu lakini hatuna furaha yaani kama tumelazimishwa!

Hakuna kabisa furaha, tumejaribu kukaa chini na kujadili mara nyingi sana lakini huwa anadai hakuna tatizo! Najiuliza sana hivi kutoka nje ya ndoa kutanosaidia nini? Nitachinwa pesa bure na ndo matatizo yataongezeka lakini pia kiimani hairuhusiwi nami naogopa kukutwa katika dhambi na Mungu wangu!

Nimesali sana lakini kama hakuna badiliko lolote! Nimuache? Yaani kila kitu tabu tupu! Wasichana nawaogopa mno nahisi wataniongeza machungu je, nitamfute mmama wa wastani kama miaka 34 ila awe mzuri? mi nina 25. Kwakweli sijitambui niko njia panda!

Nilikuwa mwajiriwa wa kampuni fulani na nilikuwa nikilipwa laki 5 kwa mwezi sasa nina miezi 2 nkmeacha kazi sababu ya matatizo ya ndoa yangu!

Sijielewi nahisi naelekea kufa ningepata mwanamke wa umri huo na anaishi tofauti na.mji wangu na akanipenda ningeenda kukaa kwake hata kwa miezi 3.
Nahisi maisha yangu yanaharibika sasa,

Nina uchungu sana usiku huu nilikuwa safari nimerudi na zawadi zimepokelewa na kutupwa sitting rum, ninahamu nimemsogelea kitandani kanipiga pepisi jichoni nomeumia sana maana tangu tuoane sijawahi ifurahia ndoa!

Hapa najiuliza nifanyeje napanga nitoke nikalale guest lakini sina hata wakunifariji natoka naenda guest hata nikifika nikaamua kujitoa duniani inatosha.

Kuna wanawake wazuri sana, wapoleee sauti za upole akikukosea kidogo tu utasikia samahani baba yangu, nakupenda haikuwa nia yangu, jaman namimi si nipate mmoja wa hivi?
kweli una busara mimi aninyime haki yangu halafu tena kipigo?
kweli pangechimbika halafu inaelekea una udhaifu flani hivi maana kama umefukuzwa kazi kwa ajili yake na unapigwa unanyamaza halafu unakuja kutuadithia hapa...binafsi nimepatwa na hasira sana wake up f.o.o.l!
Fukuza likakae kwao au huko linapopewa kiburi! yaani ni stress ya kufukuzwa kazi bado mwanamke asumbue kwani ndoa ni kitu gani? umekua kondoaa wewe mpaka unakufa hupigi kelele?
 
Lara 1, shida siyo umri wala kumchefua ndugu yangu, mi sina masilahi amenipenda nikiwa sina kitu. Nina miaka michache lakini busara yangu kubwa saana, nimepewa uchungaji wa makanisa makubwa sana Dar nikakataa! Nadhani huyu mwanamke atakuwa jini maana anapata kila aina ya care, ukisema yale mambo yetu ndo kabisaaa hapa amefika! Nimesikia.pia aliachika tena miaka ya nyuma duh

Ahahahaha aiseee

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
huyu atakuwa kampata kidume anamzuzua ndo wewe ukija anakuona kama choo,,,dawa yake husimvukuze tafuta binti mwelewa awe anakupunguzia mbegu ukiridi hme kimyaaaa unamchora tu.......badae mwenyewe atarudisha mahabat kwako....husiogope vidumu viliweka kubalance maisha ya ndoa kama hayo take it from me
 
We ukiona mtu hafati maelekezo yako ana tabia mbaya unamuacha umelazimishwa kwan umezaliwa nae bana, hukuumbwa ili mtu akupe mawazo muache apate adabu ajue na wa kuoa ni wachache siku hizi
 
mimeshindwa ona kosa kuu la mkeo au kinachosababisha huo mtafarakano, nahisi both of u are too yang dats it, kua mvumilivu as time goes atajua nini maana ya kua mke na mama wa familia ,we endelea na majukum yako as responsibo faza, usichoke
 
Paulo Alisema Ishi Na Mkeo Kwaakili, Kabla Hujamuoa Ungemchunguza Kwamda Mref Ucnge Pata Shida Yooooooote Hiyo Ungejua Nini Anataka Nann Hataki Ungetumia Akili Bilanguv Yoyote Ila Hujachelewa Tumia Ushaur Huu Mpotezee Km Una Mtoto Mfanye Kua Ndo Rafikiako Na Mfarj Mfikirie Sana Yeye Chezanae Na Umpende Sana Mwanao Atarejea Mwenyewe. Mke Wapil Nikuongeza Kidonda Cha Pili.
 
We ni third party katika hii story kama si utunzi ulioenda shule
 
25 WAKIUME NA UMEOAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!????????? Damn!!!!!! YOU ARE PATHETIC INDEED!!!!!!!

Itakuwa alikubli umuoe KIMASLAHI sasa umemfika kooni, wamchefua nafsi. (Ngoja niishie hapa kukupa makavu maana na hizo stress hushindwi kujitundika na shuka! Mmhhhhhhhhhh!(Mguno wa kinafiki.)

Anyway hapo dawa we mrudishe kwao kwa muda, akisha test maisha bila wewe kidogo, MAYBE anaweza kjirudi na kukuheshi na kuacha tabia ya kukukoa mikwenzi.

NDOA ZA UTOTON ZINASUMBUA SANAAAAAAA! Thats why nangoja till i am at least 40 ndo nianze kuconsider kuingia.

Hapo hakuna mapenzi tena! kama muda huu anapigwa viwiko vya macho, wakifika 35 mdada atampiga frying pan ya kichwa, akijaribu kunyanyuka anamtia kisigino cha kwenye meno!! Cha msingi msela ajivue hiyo stress asake noti kivyakevyake kama ana mtoto/watoto waishi na wasome vizuri. vinginevyo huyo bibie ipo siku atamtoa roho!!!
 
Kisa cha kuoa mapema nn.?? Pole wee..uliingia akili ikiwa haijakomaa c bure...wenzio wanaoa wakiwa 30 akili zishakomaaa

uongo, nilioa nikiwa na 22 yrs; na bado niko naye na tunaenjoy life kama kawa. tuna watoto 2 tu hadi raha
 
lara 1, shida siyo umri wala kumchefua ndugu yangu, mi sina masilahi amenipenda nikiwa sina kitu. Nina miaka michache lakini busara yangu kubwa saana, nimepewa uchungaji wa makanisa makubwa sana dar nikakataa! Nadhani huyu mwanamke atakuwa jini maana anapata kila aina ya care, ukisema yale mambo yetu ndo kabisaaa hapa amefika! Nimesikia.pia aliachika tena miaka ya nyuma duh
riwaya yako inasimsimua ...wewe una miaka 20+ ,mwenzio alishaolewa huko nyuma na sasa mmechokana du ! Afu umeshapata na jibu tayari kuwa sasa unataka mama .
Kweli unajua kutunga hadithi za mmu!
 
Back
Top Bottom