Nitazitambuaje Samsung galaxy NOTE II fake

Nitazitambuaje Samsung galaxy NOTE II fake

Eraldius

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
1,123
Reaction score
913
Nimekuwa na uzoefu wa muda mrefu katika kuzijua Simu fake na Genuine. Ila Samsung galaxy NOTE II Gt_7108 Imentoa jasho, kila kitu unachojua kuhusiana na Original inacho
Msaada kama kuna unachojua kuhusu hii simu.

Na nimejaribu kuigoogle na kujiridhisha specs za Genuine bado nimegundua hichi hapa.


www.droidgod.com/2014/06/samsung-galaxy-note-2-gt-n7108-full-specifications-and-features/
 
Ok
Mwl. Hii kutu ndo sijajaribu, nimesahau site yaku confim IMEI naomba unisaidie hiyo website
 
Back
Top Bottom