Nitawezaje

nyengo

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
454
Reaction score
185
naomba mnisidie wana jf. Ntawezaje ku upload file lnye zaidi ya 25mb? Nimejalibu gmail, hotmail na yahoo sikuweza.
 
Ku-upload kwenda wapi na kutoka wapi mkuu? Na file la aina gani hilo?
 
Nimerekodi video ktk kamera na nilitaka nizitume kwa rafiki
 
ku-upload kwenda wapi na kutoka wapi mkuu? Na file la aina gani hilo?
nina video ambayo nimerekodi ktk kamera, nina gmail na rafiki yangu ana gmail na nilitaka nimpelekee hiyo video
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…