Nitawezaje kutumia MS Word kwenye IPad Bila Internet ?

Nitawezaje kutumia MS Word kwenye IPad Bila Internet ?

hexacyanoferrate

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2014
Posts
1,232
Reaction score
792
Nashindwa kutumika ms word,excel na power point bila internate kwenye Apple iPad 2, lakini pia nashindwa kuiingiza document na files kutoka kwenye computer,hata music au movies pia nashindwa kuiingiza,mwenyewe uelewa anisaidie.
 
1.microsoft office ya zamani ilikuwa inahitaji subscription ya office 365 hivyo ilikuwa inahitaji internet, ila sasa hivi wametoa version mpya inayofanya kazi offline nafikiri ni muda muafaka kutembelea store tena ukadownload/update app yako ya office.

2.kusync vitu toka pc kwenda kifaa chako cha apple inabidi utumie itunes.
download hapa
Apple - iTunes - Download iTunes Now
 
Asante sana mkuu mkwawa,nitazingatia ushauri wako,Mungu akubariki.
 
Kuhusu office kwanza Kama una windows 7 au kushuka chini download "one drive" kwenye PC yako...Kama Una windows 8 na kuendelea tayari one drive unayo....one drive (pia skydrive) inakuwezesha kushare documents za Microsoft kupitia device mbalimbali ila inahitaji internet
 
Kuingiza muvi..n.k download iTunes na utumie cable kuconnect...on the left,kwenye hiyo iTunes utaona iPad yako (ukisha connect) click hapo nenda kwenye apps...

before that download vlc ya iPad...utaka kuhamisha muvi just scroll kwenye hiyo page ya app (ndani ya iTunes) mpaka ufike kwenye file sharing apps..chagua iTunes tupia muvi
 
1.microsoft office ya zamani ilikuwa inahitaji subscription ya office 365 hivyo ilikuwa inahitaji internet, ila sasa hivi wametoa version mpya inayofanya kazi offline nafikiri ni muda muafaka kutembelea store tena ukadownload/update app yako ya office.

2.kusync vitu toka pc kwenda kifaa chako cha apple inabidi utumie itunes.
download hapa
Apple - iTunes - Download iTunes Now

Msaada hapo hapo vp tunaotumia product za android i mean tablet
 
Msaada hapo hapo vp tunaotumia product za android i mean tablet

ANDROID pia microsoft ametoa office package yake. nenda store kasearch
officeandroid.jpg
 
Back
Top Bottom