Nitawezaje kutengeneza website bila kutumia code ?

Nitawezaje kutengeneza website bila kutumia code ?

Upo sahihi mkuu,ila time is critical resource so no need of hustling while it is there already.

Mleta uzi kuna open source Content management systems nyingi tu ambazo unaweza kuzitumia bila kuandika mistari(codes),japo kama alivyosema mkuu hapo juu ni vema ujue php au asp.net ili uweze kudevelop specific features ambazo hizi content management systems zinaweza zisiwe nazo.Lakini pia security wise unakuwa less vulnerable cause it's only u who knows the directory arrangements and settings of ur website unlike CMS sites which everyone knows since they are open source

Most popular Content Managament systems ni
Joomla: this is my favorite,I find it easy to understand

Wordpress: this is the second easy according to my opinion

Drupal: I found it difficult to understand

Hizo zina ready made templates designs,features known as widgets,modules and components.U just install them.

Samahani mkuu...mimi mshamba sana katika mambo ya IT hivi codes ndio kitu gani kwenye ulimwengu wa IT na zina umuhimu gani na zinafanyaje kazi...??
 
Back
Top Bottom