ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,146 Reaction score 7,685 Apr 24, 2015 #1 Kuna picha nilizi hifadhi kwenye email yangu kupitia application moja hivi inaitwa photos ipo kwenye huawei y330 sasa zile picha nataka nizirudishe nafanyaje coz nikifungua hio app naziona chache
Kuna picha nilizi hifadhi kwenye email yangu kupitia application moja hivi inaitwa photos ipo kwenye huawei y330 sasa zile picha nataka nizirudishe nafanyaje coz nikifungua hio app naziona chache