Nitawezaje kupata namba zote za simu

Nitawezaje kupata namba zote za simu

database ya namba zote za simu...?!.unataka kufanya cyber attack kwa watz.TISS huyu mtu jaribuni kwenda nae sambamba.mmh!
 
Habari JF.

Samahani nauliza nawezaje kupata database yenye namba zote za simu za mkononi za waTanzania wote?. Nahitaji hizi namba kwa ajili ya mobile marketing tu na si vinginevyo.

Nawasilisha.

Nina database ya biashara ya Tanzania.
Ina taasisi za aina Tatu:-
1. Kampuni binafsi
2. Taasisi za umma
3. Asasi zisizo za kiserikali.

Pia imesheheni taarifa zifuatazo:-
1. Jina la kampuni/taasisi.
2. jina la muhusika mkuu.
3. Anuani ya Posta.
4. Mji
5. Wilaya
6. Mkoa.
7. Namba ya simu
8. Namba ya nukushi (fax)
9. Barua pepe (Email).
10. Tovuti (website).
11. Shughuli za taasisi.
12. Kundi.

tunapatikana;-
Tel: 0767 102102
Email: shikamore@gmail.com
 
Back
Top Bottom