Nitawezaje kupata namba zote za simu

Nitawezaje kupata namba zote za simu

Habari JF.

Samahani nauliza nawezaje kupata database yenye namba zote za simu za mkononi za waTanzania wote?. Nahitaji hizi namba kwa ajili ya mobile marketing tu na si vinginevyo.

Nawasilisha.

Yaani unatakak usema kuna project ya mobile marketing unaifanya?...kwa jinsi hii kaka naona haujajiandaa kwabisa, nadhani inabidi uanze moja kwa kusoma hiyo kitu inafanyaje kazi na options zilizopo kwenye, ukimaliza hiyo kozi utakuwa umeelewa mambo mengi sana. bila hivyo utapoteza muda na nguvu bure!
 
Labda cha TTCL ile hardcopy

Mkuu Umenikumbusha Mbali.... Enz Nipo Primary Kuna bint nlikua nafukuziaa... Nikatafta namba yao then nikapga ila still nkawa naogopa hata kuongeeee.....
 
Habari JF.

Samahani nauliza nawezaje kupata database yenye namba zote za simu za mkononi za waTanzania wote?. Nahitaji hizi namba kwa ajili ya mobile marketing tu na si vinginevyo.

Nawasilisha.

Kupata humu ni ngumu ila nina amini ukiwasiliana na makampuni ya simu nadhani kuna utaratibu wanaweza kukupa maana ni mara kibao kwenye simu ya mkononi huwa kuna matangazo ya biashara sijui ya hotel inatajwa jina huwa yanaingia hivyo hata wewe through the same arrangement nadhani unaweza saidiwa
 
Mimi naweza kukupatia namba zote za mitandao yote ya mobile Tanzania. Ongea Biashara kama vipi nitafute tufanye biashara.
 
Kupata humu ni ngumu ila nina amini ukiwasiliana na makampuni ya simu nadhani kuna utaratibu wanaweza kukupa maana ni mara kibao kwenye simu ya mkononi huwa kuna matangazo ya biashara sijui ya hotel inatajwa jina huwa yanaingia hivyo hata wewe through the same arrangement nadhani unaweza saidiwa

Kaka nitafute nikupatie namba zote za simu kwa email yangu kmwakia@gmail.com lakini nakuuzia lakini unahitaji kutumia namba hizi kwa malengo mazuri kama ulivyosema.
 
Habari JF.

Samahani nauliza nawezaje kupata database yenye namba zote za simu za mkononi za waTanzania wote?. Nahitaji hizi namba kwa ajili ya mobile marketing tu na si vinginevyo.

Nawasilisha.

nitafute kwa email kmwakia@gmail.com nitakupatia solution but i have to sell them to you. please let me know if you still need them.
 
Hapo Cjajua Mayb Tusubir wakuu Watuelekeze vzuri :.. ila Kama Inashndikana unaeza kuanza kwa Kujitangaza Fb Na Social Network Nyngne Ili Watu wa Subscribe... Or Uka Bribe Watu wanaofanyia Headquaters wakupe accsess na hio kituuuu... ila Hii Ni Against the Law... lakin S Unajua Mjini Hapaa

nitafute kwa email kmwakia@gmail.com nitakupatia
 
ππΠπππππππππππππππ677777777777890#™…
 
Habari JF.

Samahani nauliza nawezaje kupata database yenye namba zote za simu za mkononi za waTanzania wote?. Nahitaji hizi namba kwa ajili ya mobile marketing tu na si vinginevyo.

Nawasilisha.

Wacha nimalizie kuhack hizo database zao halafu tutakutana pm tufanye biashara.
 
kaa chini fanya joinings mf,simu zote zina digit 10 tu,tigo wana 0713,0714,0715,0716,0717 na 0718 the unajaza endeleza tu cos kila namba utakayo jazia ni lazima ya mtu fulani
 
Habari JF.

Samahani nauliza nawezaje kupata database yenye namba zote za simu za mkononi za waTanzania wote?. Nahitaji hizi namba kwa ajili ya mobile marketing tu na si vinginevyo.

Nawasilisha.

nitafute kaka nitakupatia
 
Back
Top Bottom