Nitawezaje kuondoa "write protect" kwenye USB flash

Nitawezaje kuondoa "write protect" kwenye USB flash

mullaX

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
312
Reaction score
97
Habari wana JF,

Nina USB flash ndani ina files muhimu sana. Ninapotaka kucopy vitu vilivyomo ndani ya flash hiyo inagoma, nikitaka kuingiza kitu chochote pia haitaki. Nimejaribu kuiformat ndio imegoma kabisa. Diologue box inasema "the disk is write protect".

Naomba msaada wa kuondoa hiyo write protect. Nashindwa kuitumia jamani yaani imekua good for nothing. Any help is appreciated.
 
Habari wana JF
Nina USB flash ndani ina files muhimu sana. Ninapotaka kucopy vitu vilivyomo ndani ya flash hiyo inagoma, nikitaka kuingiza kitu chochote pia haitaki. Nimejaribu kuiformat ndio imegoma kabisa. Diologue box inasema "the disk is write protect"
Naomba msaada wa kuondoa hiyo write protect. Nashindwa kuitumia jamani yaani imekua good for nothing.
Any help is appreciated.

Pitia hii hapa ikusaidie mkuu tusiandikie mate wino huu hapa
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom