Kuna Software inaitwa HIREN'S BOOT CD ina uwezo wa kutoa password ya Win7 , Xp,2000 na vista. Sijajaribu kwenye windows 8 na 10.Heshimayenu wakuu,
Kwa mwenye kujua jinsi gani nitaweza kuondoa admnstrator password tafadali naombeni msaada, ikiwa ni step by step au ikiwa kuna software ambayo napaswa ku-download yote sawa,natangliza shukrani
Window 8 mkuu huna ujuvi wowote?Kuna Software inaitwa HIREN'S BOOT CD ina uwezo wa kutoa password ya Win7 , Xp,2000 na vista. Sijajaribu kwenye windows 8 na 10.
Pia kuna Dvd MULTIBOOT ya Yenye Win Xp, win XpLiveBoot, Hiren'sBoot na windows 7 Ultimate. Kwa kutumia DVD hii utaweza kutoa Password ya Win7,xp,Vista, 2000 kwa kutumia option ya XpLiveBoot. Sijajaribu kwa windows nyingine.
Kuna njia pia ya kuRename NARRATOR utility just Google.
kijana ukitaka kubadilishaHeshimayenu wakuu,
Kwa mwenye kujua jinsi gani nitaweza kuondoa admnstrator password tafadali naombeni msaada, ikiwa ni step by step au ikiwa kuna software ambayo napaswa ku-download yote sawa,natangliza shukrani
Hii ilikuwaga kwenye windows " xpkijana ukitaka kubadilisha
adminstrator password ukiwa ume log in bonyeza vitu hivi kwapamoja (alt,ctrl,and delete)windo 7,8 lazima watakuletea kisha anza kazi nazani nimesomeka
hata 7 piaHii ilikuwaga kwenye windows " xp