Nitawezaje kumsahau my X-girlfriend?

mapenzi yanaumiza sana....jitahid kufanya kila kinachokupa aman rohoni mwako
 
mada yako yenyewe tu haiitaji ushauri, kwa sababu bado hujaamua kufanya maamuzi, halafu hujawa muwazi. ila ushauri wa jumla kufa lazima utamsahau tu.
 
Km huwez kumsahau mrudie c unampenda na ukitaka umsahau usiwasiliane nae!Km hutak mwmbie akupe uchangamxe damu!
 
endelea kumpenda lakin sio kimapenzi
 
We mwenyewe hujielewii! Hujisomii mnakumbushiana past zenu alafu unasema unataka umsahau? Kama uko real futa namba name destroy kila kitu ambacho ktakufanya umsahau...alafu move on with yoh life
 
very simple tafuta mwingine, jiweke busy na futa namba yake ya simu na usiwasiliane nae tena....
 

Pole sana ndg yangu kwa hilo bt solution yk ni ndogo sana ukitaka umsahau kabisa ua x girlfriend we uwe unakumbuka mabaya yk aliyokuwa akikufanyia usikumbuke mazuri yk...hiyo ndo solution!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…