Nitawezaje kucheza games Kutumia USB kwenye XBox-360?

Nitawezaje kucheza games Kutumia USB kwenye XBox-360?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,378
Hadi sasa nime google mpaka nimechoka, wadau mwenye experience ya kucheza games kwa kutumia usb au external kwenye x-box 360 naomba msaada.

leh unahitjika
 
yeah, dawa ni JTAG pekee. na kufanya hiyo process inahitaji utaalamu zaidi maana kuna chip ya ku solder mle ndani mwa Xbox.

Ninamjua mtu anawezea sana, kama unataka nitaku PM namba zake. Halafu uje na kama 500GB HDD nikugawie games za kutosha


n3qn38.jpg
 
na kama bado hujashawishika..

10g0ej5.png
check hiyo mambo
 
Xbox 360 Mpango mzima.

Unadownload na ku install bila shida.
 

Attachments

  • 1424994461261.jpg
    1424994461261.jpg
    57.1 KB · Views: 108
Back
Top Bottom