Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
Acha hizo.....
sio lazima kuchangia
Hawa jamaa hapa chini wana umaarufu kwenye anga zao....natamani niwaone sura zao. Nitawapataje wajameni??
MICHEZO MICHEZO: Saint Ivuga, Crashwise, Gang Chomba, Katavi, Balantanda, Anselm, Masuke, TIQO, ndetichia (mzee wa Msimbazi na Chamazi kwa pamoja), Mzee wa Rula, Ta Muganyizi, PrN-kazi, Mphamvu, Makoye Matale na wengine wengi tu.
VIJIMAMBO / ORIGINO KOMEDIANI: Boflo (huyu ni hatare!), Mbuzi Mzee, Allien, Bujibuji, Mzizi Mkavu, etc. Kuna yule mmoja alikuwa anamwaga sana mapicha hapa jamvini lakini sasa kapotea kipindi....ID yake imenitoka!
MALAVIDAVI: Erotica (wewe sikuwezi!), Mtambuzi (mh!), Kongosho, Kaunga, Preta, Bigirita, Bishanga, Mzee Mwanakijiji, kijasti. Hii list ni ndefu wee acha tu!
UCHAMBUZI NA MAPOLITIKI: Mkandara (namwitaga mzee wa busara huyu), Mchambuzi (kada), Mzee Mwanakijiji, Pasco (aka nanilii!). Hawa ni just a tip of iceberg kutoka kwenye hazina ya wamwaga nyanga wa JF!
Nitawapataje uso kwa uso?
Roho inauma mzeeh, list yote ile jamaa hatokelezei hata kidogo.
Ningekuwa mimi ningeandika na matusi kabisa, potelea mbali!
@Mphavu Kaka umetishaje,jamaa ka'mind list kubwa lkn hajatokelezea wala nini?Roho inauma mzeeh, list yote ile jamaa hatokelezei hata kidogo.
Ningekuwa mimi ningeandika na matusi kabisa, potelea mbali!
....Mzee wa Rula yupo Chile kwa short course ya utapeli, Mzizi mkavu ndio hivo alinasa jana temeke, Preta kaolewa na babu wa loliondo.....
Mwanangu Tisha toto yaani umenisahau mimi baba yako? Ama kweli kuzaa si kupata!
Hawa huwezi kuwaona wapo mbali kwa sasa,BOFLO yupo busy kwa sasa anakatisha ticket treni la mwakyembe,BUJIBUJI hajulikani alipo anadaiwa na Finca, Mbuzi mzee kaenda Nigeria kutafuta dawa ya temeke,Mzee wa Rula yupo Chile kwa short course ya utapeli,Mzizi mkavu ndio hivo alinasa jana temeke,Preta kaolewa na babu wa loliondo na unajua kule network ni tabu kidogo,bigirita na wengine nikipata habari zao nitaendele kukupasha
nonsense
Ili next time akuandike walau kwenye mambo ya matusi na.ban za rejareja? Manake kaisahau hiyo kategori.