Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
- Thread starter
- #941
We tucheke tuunmewapenda bure kwakweli,
Nacheka mpk nalia ,si kwa kucheka huku![]()
Sanaaa. Ila Bonny amekuwa akiziba pengo langoNgoja bonny anijibu maana najua penye mzee hapaharibiki jambo..
BTW, utakuwa umenimiss eeh?
Leo inabidi mapinduzi mengine yafanyike.Anachokaje kwa mfano..
Aweke historia hapa
WooowNa bado hatujaila hata robo...
Tumia hata vidole vya miguuTuta type hata kwa macho leo.
Mungu eehahaaa m nakula tu mungu yupo maana ilo nalo janga yakikuta ahaaa
HahahahaWe tucheke tuu
Siku naleft utatype mpaka na vidole vya miguu


word indeed isiyokua na shaka ndani yakeWe nunua tuu naja ichukuawallah nacheka
ningekununulia redbull lkn Niko mbali sasa
Yapi hayoLeo inabidi mapinduzi mengine yafanyike.

Cardmchango wako ni muhimu bila kusahau kwaito kwa saana
Hahahaha,nmekumisi ujambo we,ivi ramadhani hua unafungaga wewe,ww si unasema hakuna munguArabian queen
We sema tu mfungo wa Ramadahani huu unakuja ushaanza kujiandaa.
Sasa nani ataniita "Lucifer" ?
Hizi tuhuma hazijadiliki ni termination tu... niachie mmoja bwana
2k na queen anabaki. Sijui utaweka excuse ipi ya kujiondoa.Yapi hayo![]()