Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
HahahaMasha Allah wewe na sakayo mnajituma
kwann skuwajua tangu mwanzo.ikitimia 2k nabaki
Em nitake radhi, hivi ulikuwa hunijui kweeeli
HahahaMasha Allah wewe na sakayo mnajituma
kwann skuwajua tangu mwanzo.ikitimia 2k nabaki
Mi nafunga mpaka sita nane.Hahahaha,nmekumisi ujambo we,ivi ramadhani hua unafungaga wewe,ww si unasema hakuna mungu
We nunua tuu naja ichukua
ntakununulia si kwa vituko hivi vya leoNtaulizia kwa jirani kama ameonekana.Nenda kamlete basi we si unajua alipo
We nimekutuma halafu uko tu hapa wahesabuZimebaki 60s ifike 1k.
ahaaa unataka tuzame wote kitonga jaman lesen kigezo cha dereva wa uhakika nawahi nit kufoj ahaaaMungu eeh
Subiri wakati wa kuendesha bila leseni uone moto wake
Wacha zitimie ndio ntajua kweli napendwa jf,hazijatimia kesho ni2k na queen anabaki. Sijui utaweka excuse ipi ya kujiondoa.

Leo tupige mojaPunguza masharti basi. 1.2k angalau
Sasa utafungaje wakat mungu hayupoMi nafunga mpaka sita nane.
Daby yeye sema nn hapa hebu mkuu Bonny tafsir fasterYupi sasa nkuachie mzee
We furahi tuunaniumiza mbavu mie
Babuuu ake mie
Leo moja inatimia. Hakuna shaka katika hilo.Leo tupige moja
Kesho moja
Pindua bhasi bhanaLeo inabidi mapinduzi mengine yafanyike.
Hiyo midomo Veeepee
Mm nitaandamana kbsaaaWe tucheke tuu
Siku naleft utatype mpaka na vidole vya miguu
Daaaaaah