Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
- Thread starter
- #701
Ha ha ha c wajua vya mwisho mwisho vitamu


vinakua vya high quality sioHa ha ha c wajua vya mwisho mwisho vitamu


vinakua vya high quality sioNshatulia baba.C utulie

....
Ntabaki jf mwisho ijumaa usk(kesho),baada ya hapo sitopatikana tena jf.
Nawapenda nyote na nitawakumbuka nyote.![]()
Kipi kinachoendelea hapa shemeji?
Nshatulia baba.![]()
vinakua vya high quality sio
Hongera bhanaZote mbili![]()
Aku mi sie
StakiBonny
Usibanduke mpaka kesho jioni...Natamani kuondoka kwenye uzi, naaga lakini siondoki. Nikiona notification tu, narudi.
Kipi kinachoendelea hapa shemeji?
Oouh... penye wazee hapaharibiki neno bwana.Tushayaweka sawa mzee
Bora umekuja. Fatilia toa maamuzKipi kinachoendelea hapa shemeji?

Nimemwambia aongeze neno aweke msisitizoTushayaweka sawa mzee

Ngoja bonny anijibu maana najua penye mzee hapaharibiki jambo..Bora umekuja. Fatilia toa maamuz![]()
NisameheUmenikosea sana unaondoka bila kuniachia namba yako ya simu.
Haya njoo uombe msamaha au unipe namba.
UmeonaeeHahahaha
Sio kabisaa,hata Mimi sikufikii,Mana umepitiliza ule upendo![]()
Hujambo Kaka DabyKipi kinachoendelea hapa shemeji?