Nitawamiss nyote

Arabian queen

JF-Expert Member
Nov 23, 2016
2,557
4,824
Hali zenu wapendwa .
Nianze bismillah....
Nilijiunga jf miez michache tu iliyopita,nashkuru nimejifunza mengi kupitia jf,pia wapo waliojifunza kutoka kwangu japo ni machache.

nilijiunga kutokana na kutoa mawazo tu kwa mda(temporarly),nlitaka kujitoa mda kdg lkn nkavuta subra,lkn nahis sasa wakati umewadia wa kujitoa jf.

Hakika nitawamiss nyote,nitawakumbuka ,kama yupo ambaye nilimkosea ningeomba anisamehe,kwa alienikosea nilishasamehe mda.

Mwenye neno la mwisho la kuongea ndani ya sikumbili hizi aseme,niliemkosea aje aseme ntamuomba msamaha pia hapahapa,nataka niiache jf kwa roho safi kabisa,staki niondoke hali ya kua mtu kaniwekea dukuduku.

Ntabaki jf mwisho ijumaa usk(kesho),baada ya hapo sitopatikana tena jf.

Nawapenda nyote na nitawakumbuka nyote.



APDATE:Asalam alaykm kwa Mara ingn tena
___________________________________________________________________
----------------------------------
NAJITOA JF.
HATERS KEEP GOING ,,,ALL THE BEST.

THANK U ALL.
 
Back
Top Bottom