Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
- Thread starter
- #461
Maskini we !!kumbe hata ww ulikua unafatiliaSasa hata zile mambo za kutunza mwili mfano uso kwa njia za asili ndo kwanza sijakopi. Unadai unaondoka, aaah... Vitu natural ndo basi tena au? Kuwa na huruma basi!
sorry Ila kwa machache nliyoyaleta natumai yatawasaidia insha Allah
sikia kilio changu


