Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
- Thread starter
- #421
Dah ngoja niongee vzur na mie niwemo kwenye haya mawasaliano
wenzako wamesomea ndio Mana wanapita kimyakimyaDah ngoja niongee vzur na mie niwemo kwenye haya mawasaliano
wenzako wamesomea ndio Mana wanapita kimyakimyaMbea unamjua kwa suraRamadhani inaonyesha alikuwa mbeya Sasa anaacha ili kupisha mwezi mtukufu
Hv hata Sky nae analeft? Kweli uncle Magu kabanaKuna shida gan mbona member wana left sana
Imekaa vzr hiyo ila sababu hujaweka
Umeonaeehapo sawa,ntakua napita kimyakimya
Hujawah kuwa mmbea ila jana nilikuona unaongea na hubby wangu nikawaacha tu. Usikute hii ni janja ya kuendelea kuwasiliana nje ya hapa eeehMbea unamjua kwa sura

Hahaha huku niliko hamna mtu anaitwa maguHv hata Sky nae analeft? Kweli uncle Magu kabana


Hahahaaa! Wewe baki baki kidoogo basi hata hadi kesho kutwaMbona mie huniambii nicheke...
Hujui naleft

Umeonaee
Nawe unipe basi ya kwako niwe nachungulia tuu


yang ntakupa uimiliki ww kabisa wakujue ndio we Arabian queenUtakuja mjua tu wewe subir akutembelee ofcn akute unachart. Bora umegundua mapemaHahaha huku niliko hamna mtu anaitwa magu![]()
Bora umenielewesha mwaya![]()
![]()
![]()
kesho itbidi nipite kwa member mmojammoja nimpe hugUtakuja mjua tu wewe subir akutembelee ofcn akute unachart. Bora umegundua mapema

sitaman hata kumjuaAkitoka yule wa ubavu wako naomba nifuate mimi niwe wa pili.kesho itbidi nipite kwa member mmojammoja nimpe hug
