Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Haleft bhana... We muacheArabian Queen ananikumbusha sudan...
Ila soon ataleft humu..
Haleft bhana... We muacheArabian Queen ananikumbusha sudan...
Ila soon ataleft humu..
ana id nyingineIle id ya kuwowa vipi
Waache kama wanajua kila mtu hapa mkata mauno watajuaKuna watu wanaleta fyoko fyoko mkuu..
Wanajua porini tunaendaga kupaka poda..?
Ndioooana id nyingine
Acha matishio
Kama Vipi uwe Unaenda na mie porini

sudan oyeeeNishaelewa tatizo liko wapi..
Usijali...kuna ishu naweka sawa..
Hata nikienda Sudan mwaka nikirudi nitakukuta unanisubiri..
Kuna watu wanaleta fyoko fyoko mkuu..
Wanajua porini tunaendaga kupaka poda..?
eti kupaka poda
hakuna banUku ban mkuu
Vunga basi ! Nimtumie Dompo inginesudan oyeee
umejuajeeeUkienda pori utakufa buree mama!
Mbona mdogo wako shunie huwa amfati lee
Hey mbona bado hujaondoka??
ameghaili
anatumia naniNdiooo
umtumie nani dompoVunga basi ! Nimtumie Dompo ingine
shangazi kumbe na we ni kibonge mwenzetuHivi hii ndio trend mpya au? Ya kutuma tuma mapicha?
Karibu tena hapa, si wengine miaka mia. Kudadeki kila ukiwasha data unaanza na notifications za jf, acha kabisa.hii kitu. Wasalimie huko sijui saudia au Kuala Lumpur, popote unapoita dinar au labda ni oman riyal, tuko pamoko
Salam zimefika,wacha nibaki pngn ntafika miaka 200
Ndio aunty, DNA haidanganyi ujue.shangazi kumbe na we ni kibonge mwenzetu