Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
- Thread starter
- #221
Kwa hiyo sijaleft
Sakayo left
unaleft kwa maneno tu alaf unaendelea kutypeKwa hiyo sijaleft
Sakayo left
unaleft kwa maneno tu alaf unaendelea kutypeHakuna ku left kwa member wote wengi sifa za Sakayo, ama zinazofafanana kama huyu Queen wa kiarabu.




HahahaHakuna ku left kwa member wote wengi sifa za Sakayo, ama zinazofafanana kama huyu Queen wa kiarabu.
Hahahaha uyo ticha ,ticha ganiMkuu acha masihara bwana. Unajua we ndo member pekee uliealikwa ktk harusi ya Ticha mwenye PhD ili ulete mrejesho huku jukwaani. Sasa mkuu itabidi umpe mtu kadi ya harusi ili alete mrejesho.
mbn mkewe hajanitafuta nimpe funzo,acha utani banaYuko wapi huyo Kivuruge wako sasaaahapana aisee njo umwambie mwenyewe unamjua yule
OkeyShaloom
hahahah yuko kitaa cha home si unajua hatembeiYuko wapi huyo Kivuruge wako sasaaa
Si ulisema umealikwaHahahaha uyo ticha ,ticha ganimbn mkewe hajanitafuta nimpe funzo,acha utani bana
Unatuachaunalia nn Sasa
nimecheka sanasi mzima uyo
Hahahaunaleft kwa maneno tu alaf unaendelea kutype
Hali zenu wapendwa.
Nianze bismillah....
Nilijiunga jf miez michache tu iliyopita,nashkuru nimejifunza mengi kupitia jf,pia wapo waliojifunza kutoka kwangu japo ni machache.
nilijiunga kutokana na kutoa mawazo tu kwa mda(temporarly),nlitaka kujitoa mda kdg lkn nkavuta subra,lkn nahis sasa wakati umewadia wa kujitoa jf.
Hakika nitawamiss nyote,nitawakumbuka ,kama yupo ambaye nilimkosea ningeomba anisamehe,kwa alienikosea nilishasamehe mda.
Mwenye neno la mwisho la kuongea ndani ya sikumbili hizi aseme,niliemkosea aje aseme ntamuomba msamaha pia hapahapa,nataka niiache jf kwa roho safi kabisa,staki niondoke hali ya kua mtu kaniwekea dukuduku.
Ntabaki jf mwisho ijumaa usk(kesho),baada ya hapo sitopatikana tena jf.
Nawapenda nyote na nitawakumbuka nyote.![]()
Hata kama Mimi ni Mfupi kama Zakayo lakini nitakuwa juu ya mti kupepesa macho kumtafuta huyo Sakayo popote alipo na kumlejesha tena hapa Jamvini.Hahaha
Lazima Sakayo aleft bhana
We acha tuu...
Nataka kuwolewa
mbona mcheza kwaito mpaka sasa sijaambiwaHahahahahahah yuko kitaa cha home si unajua hatembei