Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
- Thread starter
- #161
Hali zenu wapendwa.
Nianze bismillah....
Nilijiunga jf miez michache tu iliyopita,nashkuru nimejifunza mengi kupitia jf,pia wapo waliojifunza kutoka kwangu japo ni machache.
nilijiunga kutokana na kutoa mawazo tu kwa mda(temporarly),nlitaka kujitoa mda kdg lkn nkavuta subra,lkn nahis sasa wakati umewadia wa kujitoa jf.
Hakika nitawamiss nyote,nitawakumbuka ,kama yupo ambaye nilimkosea ningeomba anisamehe,kwa alienikosea nilishasamehe mda.
Mwenye neno la mwisho la kuongea ndani ya sikumbili hizi aseme,niliemkosea aje aseme ntamuomba msamaha pia hapahapa,nataka niiache jf kwa roho safi kabisa,staki niondoke hali ya kua mtu kaniwekea dukuduku.
Ntabaki jf mwisho ijumaa usk(kesho),baada ya hapo sitopatikana tena jf.
Nawapenda nyote na nitawakumbuka nyote.![]()
Aisee, yani na kujitutumua kote huko bado sijaeleweka kweliHahahaha duhh pole sana,kwaio unataka niondoke bila ya kujua iko kitu![]()

Mbn mm nilishaanza kuonyesha nia acha hizo 😡 😡 😡

Sasa mbona mlijikausha mpk mnaskia nataka kuwakimbiaNimekusamehe kabisa na usirudie tena kuondoka JFnisamehe kwanza kabla sijaquite jf
Tatizo majukumu kuwa mvumilivuSasa mbona mlijikausha mpk mnaskia nataka kuwakimbia
Mm sjaelewaAisee, yani na kujitutumua kote huko bado sijaeleweka kweli![]()

Nimekusamehe kabisa na usirudie tena kuondoka JF
lazma niwakimbie yaanI gonna mishh u too dearI will miss you.
HahahaTatizo majukumu kuwa mvumilivu
Npe nafasi ya mwisho sasaHahaha
Nafasi gani io mkuuNpe nafasi ya mwisho sasa