umaskini!!! mbona yuko mtoto wa profesa mmoja anatumia?mlezi wa mtoto ni Mungu...pekeee!!
omba sana shirikisha Mungu kwenye kila kitu!
Wapo watoto wana tabia njem ila wametoka kwenye walezi wabovu vibaya mnoo...
wapo waliotoka kwenye malezi mazuri baba, mama wachamungu Ila watoto hovyooo kabisa...
yote kwa yote umaskini ndo chanzo kikuu cha hizo mambo!
Hawajaanza bado ni wadogo miaka 5 - 10
nikikosea sasa nitakosea hata baadae na kesho pia. Sasa hivi ni wakati wangu wa kudunduliza elimu kwaajili ya akiba kwa matumizi ya baadae watakapofikia balele unayosema wewe.Watoto wadogo hivyo ushaanza kuwawazia mabaya hata muda wa balehe badoView attachment 472472 sana,wewe mzazi wa aina gani
Ni kweli mkuu.. Tengeneza urafiki na watoto wako... Wafanye kama washikaji zako.. Some tym jifanye kuwaomba hata ushauri wa kimawazo kutoka kwao.. Watoto watatulia tuli hawachomokiiiiiKuwa karibu na wanao waeleze ukweli wafanye kuwa rafiki kwako mana itakuwa ni rahisi sana jua mienendo yake, pia watoto hujifunza toka kwa wazazi kama wewe ni mlevi uwezekano wa WAo kuwa walevi ni mkubwa pia vile vile kama ni mvuta sigara
Mimi nimekuwa kwenye jamii ambavyo inawalevi na wavuta bangi haswaa lakini sikuwahi hata onja hata siku moja mana kwenye familia yangu tangu niwe mtoto sijawahi ona MTU akivuta sigara
Shule ndo huchangia sana haribu watoto especially boarding schools
Huko mi ndo niliona ulevi wa kila rangi lakini namshukuru mungu sikuwahi hata fikiria jaribu radha na hivo vitu
nikikosea sasa nitakosea hata baadae na kesho pia. Sasa hivi ni wakati wangu wa kudunduliza elimu kwaajili ya akiba kwa matumizi ya baadae watakapofikia balele unayosema wewe.
Kumbuka kufunga banda kabla ya vifaranga kutoka, mwewe yupo angani anaangaza kula yake.Watoto wadogo hivyo ushaanza kuwawazia mabaya hata muda wa balehe badoView attachment 472472 sana,wewe mzazi wa aina gani
umesoma kunielewa?!!!umaskini!!! mbona yuko mtoto wa profesa mmoja anatumia?
Kumbuka kufunga banda kabla ya vifaranga kutoka, mwewe yupo angani anaangaza kula yake.
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]