Nitavunjaje mikataba ya kuzimu ya mababu zangu?

Nitavunjaje mikataba ya kuzimu ya mababu zangu?

The river between makuyu and Kameno. Chagua. You can save both wa Kameno na wa Makuyu mradi huui wala kudhuru mtu. Yakuletwa na yale yako ya kurithi kipi bora? Walioiga wakakithiri wanaua hata ndugu zao kwa kuwakata vichwa eti makafiri. Jitambue.
 
Kama mababu zako walikuwa wachawi, wauaji nk wewe beba mizigo yao maana imeandikwa laana ni hadi kizazi cha nne...
 
Kuna hii issue ya mikataba ya mababu zetu walioingia na shetani. Kwa mfano unakuta uliingia ili mfanikiwe ni lazima mtoe kafara na kumwagia damu kwenye rupia sasa mimi nisipofanya hivyo madhara yake ni yapi?

Mimi nataka kumtegemea Mungu lakini unakuta mtumishi wa Mungu anasema nimefungwa na mikataba ya kuzimu. Je, nifanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaamini damu ya Yesu ilimwagika ili kuweka agano jipya, basi tumia damu hii kuvunja mikataba yote ya kale na uzaliwe upya katika roho, basi utakuwa huru dhidi ya mikataba ya mababu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom