Nitauvunja vunja moyo wake soon

Nitauvunja vunja moyo wake soon

Ndio maana wazazi wengine wanakuwaga watata kweli kwenye mienendo ya binti zao na mwanaume/wavulana.
 
kwanza kosa lako moja ni kumu under rate huyo baby mama wako eti alijua yakaisha tuka solve...
mkuu hayaishi na kama yameisha jua kuna mjanja mwenzio huko pembeni nae anamuweka sawa huyo mwanamke...( amini nakwambia naongea from experience)
never under estimate the thoughts of women wala usiwajaribu..
pili uo mda wa ku handle 2 unaona unao, ila kwa mzaz mwenzio mapenz kwake yamepungua..na hilo huoni ila wa nje wanaoa ndo wanapochukua advantage kwa mama watoto wako..

mimi huyo mchepuko wako sigusii maana ni kilaza, nawe amekuambukiza chembe za ukilaza, eti uliogopa kumuacha baada ya biti..***.en kweli////yani tujivulana wengine mie mpaka nakwazika ,
 
kwanza kabisa niseme sikuwa na nia hii ila itabidi, siyo kosa lake tatizo ni mimi.

Huyu binti nilikutana nae mwanzoni, mwaka huu, nilitokea kumtamani na kutamani kuwa nae hata kwa usiku mmoja tuu, nilifanikiwa kupata namba yake na kuanza mawasiliano.

Date ya kwanza ilienda vizuri na nilimrudisha anapokaaa salama baada ya kufurahi usiku kucha, kukaa nae na kuongea nae usiku huo nikatokea kumpenda, sikufanya nae mapenz aliniambia yupo period mapema na nilimkubalia.

Baada ya hapo kaja kwangu mara nyingi sana, tunapika na kula, na siku nyingine analala baada ya kumsikiliza story yake na malengo yangu nikaona kabisa hatupo njia moja alikuwa ametoka kuachwa na mshkaji wake, alikuwa kwenye maumivu makali nikachukua jukumu la kumpa faraja kuhakikisha hata mitihani yake anafanya vizuri ishu ni kwamba mtoto amenielewa na mipango yake yote ni mimi! Mimi mipango yangu ni mama mtoto ambaye natarajia kufunga nae ndoa mwezi december.

Nimefanikiwa kwa kiasi fulani kuishi double life, mke wangu mtarajiwa alishajua kuhusu huyu binti tukayamaliza, ila binti hajui chochote kuhusu kuwa na mke wala mpango wa ndoa. Last month nilimletea figisu tuachane akaniambia ntakuwa responsible kwa atakachokifanya hawezi kuishi, nikarudi nyuma.

Msinitupie mawe wakuu, naombeni ushauri nini cha kufanya kwa sasa, namna gani nimuache asiumie, binafsi ninampenda pia yani ninawapenda wote yeye na mke mtarajiwa kuoa ni lazima nioe mwezi wa 12
Mkuu hakuna kitu kibaya kama kuchezea moyo ya mtu, hasa alieumizwa.
 
yaani mtu kama wewe kindly nisingeweza kukuacha salama asee unajua katoka kuumizwa na wewe unarudia kosa ningehakikisha unamuacha huyo mke mtarajiwa na mm nakupiga chini ili ujifunze kueshimu mioyo ya wanawake kama unavo mueshimu mama ako
nilijaribu kumuweka awe vizuri amalize mitihan yake, hapo ndipo tulipodondoka nilikuwa nnajali that's all labda kuna vingine vingi sijaviweka wazi ndio maana mnaniona kama mnyama vile nnakubali mawe yenu ila msaada basi mtoe
 
Mkuu hakuna kitu kibaya kama kuchezea moyo ya mtu, hasa alieumizwa.
ninauona huo mzigo, nikiri kuna vitu ambavyo sijaamua kuviweka wazi, mfno tuu huyy mwanamke nnayetaka kumuoa kani block simpati kabisa wiki sasa
 
ninauona huo mzigo, nikiri kuna vitu ambavyo sijaamua kuviweka wazi, mfno tuu huyy mwanamke nnayetaka kumuoa kani block simpati kabisa wiki sasa
Dah unajua, Kijana. Suala la ndoa sio la mzaa. Unatakiwa Kufunga na kumshirikisha Mora. Atakupa tu wa kwako
 
Back
Top Bottom