The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,445
- 20,811
kwanza kabisa niseme sikuwa na nia hii ila itabidi, siyo kosa lake tatizo ni mimi.
Huyu binti nilikutana nae mwanzoni, mwaka huu, nilitokea kumtamani na kutamani kuwa nae hata kwa usiku mmoja tuu, nilifanikiwa kupata namba yake na kuanza mawasiliano.
Date ya kwanza ilienda vizuri na nilimrudisha anapokaaa salama baada ya kufurahi usiku kucha, kukaa nae na kuongea nae usiku huo nikatokea kumpenda, sikufanya nae mapenz aliniambia yupo period mapema na nilimkubalia.
Baada ya hapo kaja kwangu mara nyingi sana, tunapika na kula, na siku nyingine analala baada ya kumsikiliza story yake na malengo yangu nikaona kabisa hatupo njia moja alikuwa ametoka kuachwa na mshkaji wake, alikuwa kwenye maumivu makali nikachukua jukumu la kumpa faraja kuhakikisha hata mitihani yake anafanya vizuri ishu ni kwamba mtoto amenielewa na mipango yake yote ni mimi! Mimi mipango yangu ni mama mtoto ambaye natarajia kufunga nae ndoa mwezi may.
Nimefanikiwa kwa kiasi fulani kuishi double life, mke wangu mtarajiwa alishajua kuhusu huyu binti tukayamaliza, ila binti hajui chochote kuhusu kuwa na mke wala mpango wa ndoa. Last month nilimletea figisu tuachane akaniambia ntakuwa responsible kwa atakachokifanya hawezi kuishi, nikarudi nyuma.
Msinitupie mawe wakuu, naombeni ushauri nini cha kufanya kwa sasa, namna gani nimuache asiumie, binafsi ninampenda pia yani ninawapenda wote yeye na mke mtarajiwa kuoa ni lazima nioe mwezi wa 12