:director::behindsofa:
:flypig::director:
Hahahahaaa Ronn M kwa humu mbona kawaida?
Mi ntashangaa kuona Ronn M ni mume wa BADILI TABIA na hamjuani
lol
Pia ntashangaa kuona Kaizer ni ndo kakaangu kiukweli
Sasa hii ya kuwa mume wa BADILI TABIA tamu hii
Hahahaaaa huwezin jua kwa kuwa hata akiwa mpenzi huwezi kujua
Heheheeee Ronn M bhana lol
utakuta ni kweli sa sijui siku ukigundua ni yeye na anavyofyatuka sijui utajinyonga wewe au utamnyonga yeye lol
Dah unanikumbusha Arumeru wakati wa kampeni
Dah ilikuwa raha sijapata kuona yaani hata ile kitu haifikii
Nitashangaa nikigundua members wote ni wafanyakazi wa internet cafe.