Nitashangaa nikigundua. . . . .

Nitashangaa nikikuta Invisible ndio TZ 02.......
 
Last edited by a moderator:
Sishangai kutoshangaa bali najishangaa kwanini sishangai yashangazayo! Wanaoshangazwabasi shangaeni tu!
 
usishangae kukuta mie ndo konda mwenyeww.....
Nabembea mlangoni.......
 
Hahahahaaa Ronn M kwa humu mbona kawaida?
Mi ntashangaa kuona Ronn M ni mume wa BADILI TABIA na hamjuani
lol
Pia ntashangaa kuona Kaizer ni ndo kakaangu kiukweli
 
Last edited by a moderator:
Huna sababu ya kushangaa mkuu,Niliambiwa Cacico ni mama Mary Nagu sikushangaa, afu eti Njiwa ni Rostam A, na kumbe Mafilili ni yule NYARA YA SERIKALI
Pombekali mzima wewe! nilishangaa kujua wewe una ukoo na maumba! nways nimekaa kimya tu nakulia mingo. mzima wewe???
 
Last edited by a moderator:
Babu dark city anavyoonekana mkali angekuwa ndio malecela si angekuwa anamrushia mateke mwanae le mutuz kila leo na ***** wake?

Mie sitashangaa nikijigundua king'asti ni nani manake hata mie sijui!
Loh! hapo Erotica umeniacha hoi! Ila babu Dark City anasound kama Malecela hivi! Mtambuzi atakuwa Masako wa ITV bana!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…