Nitarudi tena Marangu

Hahahaha! Utarudi Rauya kusalimia au kujitafutia jiko kabisa? Ndiyo maana saizi tunataka uongozi wa nchi ili maendeleo yaliyoko uchagani yaenezwe nchi nzima! By the way, ukirudi teha Rauyah ufike na maeneo ya mamba Kotela unifikishie salamu kwa ndugu zangu wa pale! Tehe...


 
Hahahahahaaa marangu kwetuuuu....marangu mtoni ulionja kitimoto ya uchumi??n balaa...afu uliza sh ngap et kg 1 buku sita!!! Karibu tena na tena
 
Mkuu karibu sana, huko ni home ulikofika, tunapenda sana wageni, usichoke kuja.
 
Kuna Rauya mbili: Rauya ya Marangu na Rauya ya Mamba. Wewe ulikuwa Rauya ipi na yenye maporomoko ya maji kama siyo muongo kama yule waziri wa TANESCO?
 
Najua unamaanisha mama ana nkapa ila Rauyah kaniudhi sana kwa kutohoa siri zetu za migombani. Sasa watu wataanza kutuangalia kwa jicho la 3.

CC Asprin

Ha ha ha..ndugu nilivutiwa sana.Kuna biashara nimepania kufanya maeneo ya Marangu mtoni.Mambo ya kikaa sawa nitawajulisha ni biashara gani.
 
Last edited by a moderator:
Kuna Rauya mbili: Rauya ya Marangu na Rauya ya Mamba. Wewe ulikuwa Rauya ipi na yenye maporomoko ya maji kama siyo muongo kama yule waziri wa TANESCO?

Ni ile karibu na Shule ya St Magreth...Maporomoko si yako Marangu mtoni pale.Au nakosea jamani.
 
Kwa maelezo hayo yote ulioyatoa, na ukarimu wa watu wa huko Marangu, wengine wenye roho nyepesi tunaweza kulowea huko kimoja ama tukachukua jiko huko.
Jitahidi uende tena wakati wa Easter
 
kunafanana kidogo na kishumundu? LOL
 
Kaka we Mkareee, Toka usukumani Hadi Kwetu Rauyaaa! Du, Infwakti mi nakaa jirani na Marangu. Ungemwambia akutembeze Pande za KILEMA. Hiyo ni kama vile unazungumzia SINZA/TEGETA MASAITI au KINYEREZI Mpya. Ila hongera kwa Kutukubali kwani Inasadikika kuwa Bustani ya EDDEN Ilikuwa hapa Moshi tena Pande za KILEMA/MARANGU.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

cc miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Najua unamaanisha mama ana nkapa ila Rauyah kaniudhi sana kwa kutohoa siri zetu za migombani. Sasa watu wataanza kutuangalia kwa jicho la 3.

CC Asprin

Kyava aja mwanandie......

Kuna dada yetu anataka kwenda usukumani au ni hizi mbege za Ilala zinanichanganya...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…