Nitarudi tena KCMC Hospital

Kwa kweli dunia inaenda mwisho sasa kilichokupeleka umekiacha umefata ambacho hakikua heenh!!! Ulisalimika.wewe
 

angalia usirudi kama mgonjwa
 
We naye mgonjwa,ukifika waambie wakuonyeshe wodi ya wagojwa wenye matatizo kama yako.Utaonyeshwa
 
Nadhani unajisikia vibaya sana kwa mgonjwa wako kupona, maana ungeomba uwe unalala nae huko ili tu ushuhudie mishemishe za manesi makoridoni
 

Acha Tanzania na Watanzania waendelee kuwa masikini!!!
 
omba urudi mahututi
 
aisee nipo moshi mitaa ya kiusa kuna mishe napiga ... kama vipi ngoja nikapime malaria kcmc this wikend ... manake sijui viwanja vya huku vyenye bebez wakali ...
 
aisee nipo moshi mitaa ya kiusa kuna mishe napiga ... kama vipi ngoja nikapime malaria kcmc this wikend ... manake sijui viwanja vya huku vyenye bebez wakali ...
Yaani Mkuu hautajutia muda wako,tena haina haja ya kwenda kupima Malaria wewe nenda ukae mapokezi au upitie korido kama mbili hivi uone maajabu ya KCMC na Utalii wa ndani.
 
Mkuu Yao nurse walikuwa wanatoka idara gani, kuna idara zinasifika kwa nurse wazuri




 

Acha ujinga!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…