Nitarajie nini huku??

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
hodi jamani, hatimae leo nimefika hapa JF naomab kuuliza nitarajie nini huku? au nilog off niondoke?
 
hodi jamani, hatimae leo nimefika hapa JF naomab kuuliza nitarajie nini huku? au nilog off niondoke?

Wala usiondoke na karibu sana. Tarajia mijadala moto moto na wakati mwingine iliyojaa jazba na burudani tele itakayofanya uwe una tabasamu au hata kucheka na screen yako ila kuna uwezekano ukawa addicted pia na hii kitu inayoitwa JF, karibu sana jamvini.
 
hodi jamani, hatimae leo nimefika hapa JF naomab kuuliza nitarajie nini huku? au nilog off niondoke?

tarajia kukipata kile kilichokufanya ujiunge humu na mengine meng ambayo hukutarajia kuyapata kbs.
 
Back
Top Bottom